Kusah ft Harmonize – Kama Sio Lyrics
Intro
its konde boy call me number one.
verse 1: Harmonize
kuishi kwingi kuona mengi,
ila kama wewe bado sijamwona,
baby bado sijamwona, wa kukufikia hata robo.
kichwa kina mambo mengi,
ila upendo wako bado nauona,
nikifumba macho bado nakuona, how beautiful you are baby.
chorus
basi napenda unavyonidekeza baby,
nikikosea unigombezi unanieleza baby,
mwenzako napenda unavonidekeza darling,
nikikosea unigombezi unanielekeza baby.
na kama sio utu wako wewe,
huu utulivu ningeupata wapi.
na kama sio moyo wako wewe baby,
huu upendo nautoa wapi, aah!! kama sioo.
Verse 2: Kusah
na kusah tena ooh!!
utazania kama sio wangu,
kama sio mali yangu ooh!!,
msiri wangu, kama ndo kwanza namwona.
ameridhia shida zangu,
na hiki kidongo changu,
kikubwa cha parabuu,tukikosa wali hata dona.
Asa bora nikwambie, hakuna anenijua mie,
kama ambavyoo baby, vile unavyoo baby.
chorus
basi napenda unavyonidekeza baby,
nikikosea unigombezi unanieleza baby,
mwenzako napenda unavonidekeza darling,
nikikosea unigombezi unanielekeza baby.
kama sio utu wako wewe,
huu utulivu ningeupata wapi.
na kama sio moyo wako wewee,
huu upendo ningeutoa wapi, na kama sioo.
its konde boy call me number one.
konde music wordwide, ooh wide.
